Wednesday, November 14, 2012

Nicki Minaj, Cassie - The Boys (Explicit)

GARI LA MSANII DIAMOND ALILO PATA NALO AJALI

msanii wa music kizazi kipya nchini Tanzania ambaye ana tamba kwa sasa na kibao cha nataka kulewa-Diamond Platinum, imeripotiwa hivi majuzi kati alipata ajali na usafiri wake aliokuwa ana tembea nao.